ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

FROM HOW TO WHO "USIJIZUILIE" REV. DR. ELIONA KIMARO

Автор: Rev. Dr. Eliona Kimaro

Загружено: 2025-09-21

Просмотров: 14352

Описание: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA JUMAPILI - HARAMBEE YA UJENZI WA KIJITONYAMA MAADILI HOSTEL 21/09/2025

UJUMBE WA LEO: FROM HOW TO WHO

"USIJIZUILIE"

Mwanzo 22 : 15 - 18
Matendo 5 : 1 - 1

Mwanzo 22 : 15 - 18

15 Malaika wa Bwana akamwita Ibrahimu mara ya pili kutoka mbinguni

16 akasema, Nimeapa kwa nafsi yangu asema Bwana, kwa kuwa umetenda neno hili, wala hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee,

17 katika kubariki nitakubariki, na katika kuzidisha nitauzidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, na kama mchanga ulioko pwani; na uzao wako utamiliki mlango wa adui zao;

18 na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia; kwa sababu umetii sauti yangu.

Matendo 5 : 1 - 11

1 Lakini mtu mmoja jina lake Anania, pamoja na Safira mkewe, aliuza mali,

2 akazuia kwa siri sehemu ya thamani yake, mkewe naye akijua haya, akaleta fungu moja akaliweka miguuni pa mitume.

3 Petro akasema, Anania, kwa nini Shetani amekujaza moyo wako kumwambia uongo Roho Mtakatifu, na kuzuia kwa siri sehemu ya thamani ya kiwanja?

4 Kilipokuwa kwako, hakikuwa mali yako? Na kilipokuwa kimekwisha kuuzwa, thamani yake haikuwa katika uwezo wako? Ilikuwaje hata ukaweka neno hili moyoni mwako? Hukumwambia uongo mwanadamu, bali Mungu.

5 Anania aliposikia maneno haya akaanguka, akafa. Hofu nyingi ikawapata watu wote walioyasikia haya.

6 Vijana wakaondoka, wakamtia katika sanda, wakamchukua nje, wakamzika.

7 Hata muda wa saa tatu baadaye mkewe akaingia, naye hana habari ya hayo yaliyotokea.

8 Petro akamjibu, Niambie, Mlikiuza kiwanja kwa thamani hiyo? Akasema, Ndiyo, kwa thamani hiyo.

9 Petro akamwambia, Imekuwaje hata mkapatana kumjaribu Roho wa Bwana? Angalia, miguu yao waliomzika mumeo ipo mlangoni, nao watakuchukua nje wewe nawe.

10 Mara akaanguka miguuni pake akafa; wale vijana wakaingia wakamkuta amekufa, wakamchukua nje, wakamzika pamoja na mumewe.

11 Hofu nyingi ikawapata kanisa lote na watu wote walioyasikia haya.

1. BARAKA ZA IBRAHIMU ZIPO KATIKA KUTOJIZUILIA KUTOA SADAKA

HOJA YA MSINGI LEO NI KUMZUILIA MUNGU SADAKA YA GHARAMA.

SADAKA ILIYOZUILIWA INAUWA VIPAWA, KARAMA, HUDUMA, BIASHARA, MITAJI, KAZI, NDOA, TAALUMA, NAFASI, UONGOZI, NA MAUTI YA MTU YAANI KIFO.

CHAGUA LEO
BARAKA YA IBRAHIMU
AU
MAUTI YA ANNANIA NA SAFIRA.

BWANA AMEAPA KUKUBARIKI ATAKUBARIKI

Mhubiri: Rev.Dr. Eliona Kimaro

Kwa maoni na ushauri:
Smu :+255655516053, +255754516053
YouTube : Rev. Dr. Eliona Kimaro TV
Barua Pepe: [email protected]

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
FROM HOW TO WHO  "USIJIZUILIE" REV. DR. ELIONA KIMARO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MSIMU WA KUPOTEZA WA REBEKA. (REBECCA'S LOSS SEASON) / REV . DR. ELIONA KIMARO

MSIMU WA KUPOTEZA WA REBEKA. (REBECCA'S LOSS SEASON) / REV . DR. ELIONA KIMARO

AMELAANIWA MTU AFANYAYE KAZI KWA ULEGEVU / REV. DR. ELIONA KIMARO

AMELAANIWA MTU AFANYAYE KAZI KWA ULEGEVU / REV. DR. ELIONA KIMARO

UJUMBE HUU NI WAKO | MUNGU ATAKUFURAHISHA | HAIJALISHI UNAPITIA NINI WAKATI HUU ~ Rev. Eliona Kimaro

UJUMBE HUU NI WAKO | MUNGU ATAKUFURAHISHA | HAIJALISHI UNAPITIA NINI WAKATI HUU ~ Rev. Eliona Kimaro

Ee, Nafsi Yangu Rudi Rahani Mwako | Recovery From The Fear Of Change | Rev. Dr. Eliona Kimaro

Ee, Nafsi Yangu Rudi Rahani Mwako | Recovery From The Fear Of Change | Rev. Dr. Eliona Kimaro

KATIKA KRISTO KILA JARIBU LINA MLANGO WA KUTOKA

KATIKA KRISTO KILA JARIBU LINA MLANGO WA KUTOKA

UTAJIRI HUU UMEFICHWA WATU WASIJUE TANZANIA. NEEMA

UTAJIRI HUU UMEFICHWA WATU WASIJUE TANZANIA. NEEMA

HUTATOKA KITUPU (THE POWER OF EMPTINESS) / REV. DR. ELIONA KIMARO

HUTATOKA KITUPU (THE POWER OF EMPTINESS) / REV. DR. ELIONA KIMARO

HAYA NI MAAJABU YA UWEZO ULIONAO ~ Dr. Eliona Kimaro

HAYA NI MAAJABU YA UWEZO ULIONAO ~ Dr. Eliona Kimaro

HAKIKA WEMA NA FADHILI ZITAKUFUATA / REV. DR. ELIONA KIMARO

HAKIKA WEMA NA FADHILI ZITAKUFUATA / REV. DR. ELIONA KIMARO

HISTORIA NI HESHIMA YAKO   (GILGALI) / REV. DR. ELIONA KIMARO

HISTORIA NI HESHIMA YAKO (GILGALI) / REV. DR. ELIONA KIMARO

IBRAHIMU NA MSIMU WA KUPOTEZA (ABRAHAM'S LOSS SEASON) / REV. DR. ELIONA KIMARO

IBRAHIMU NA MSIMU WA KUPOTEZA (ABRAHAM'S LOSS SEASON) / REV. DR. ELIONA KIMARO

"HAKIKA HILI MOJA LITAKUINUA KWENYE HATIMA YAKO ILIYO KUU." 🙌 | Nondo za Rev. Eliona Kimaro

Mafanikio Yako Yapo Kwa Maadui Zako USIWAOGOPE! - Rev. Dr. Eliona Kimaro

Mafanikio Yako Yapo Kwa Maadui Zako USIWAOGOPE! - Rev. Dr. Eliona Kimaro

MAOMBI YA ASUBUHI ::: NGUVU YA ZABURI YA 91 ::: MCH DAVID MMBAGA

MAOMBI YA ASUBUHI ::: NGUVU YA ZABURI YA 91 ::: MCH DAVID MMBAGA

4. UWEZO WA MUNGU VAZI LAKO // MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE - BABATI

4. UWEZO WA MUNGU VAZI LAKO // MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE - BABATI

Bwana Akubarikie na Kukulinda | Ibada ya Jpl, Kusifu na Kuabudu, 5 /2/ 2025 | Rev. Dr. Eliona Kimaro

Bwana Akubarikie na Kukulinda | Ibada ya Jpl, Kusifu na Kuabudu, 5 /2/ 2025 | Rev. Dr. Eliona Kimaro

BADILI MAONO YAKO KUWA HALISI NAMNA HII | (VISION TO REALITY) Na Dr. Eliona Kimaro #Mafanikio

BADILI MAONO YAKO KUWA HALISI NAMNA HII | (VISION TO REALITY) Na Dr. Eliona Kimaro #Mafanikio

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SHOOL OF HEALING 19/02/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SHOOL OF HEALING 19/02/2026

WENYE MALENGO MAKUBWA WANAIHITAJI HII VIDEO ZAIDI | #SIRI ~ Dr. Eliona Kimaro

WENYE MALENGO MAKUBWA WANAIHITAJI HII VIDEO ZAIDI | #SIRI ~ Dr. Eliona Kimaro

UKIELEWA FALSAFA HII BIDII YAKO ITAKULETEA MAFANIKIO MARA DUFU, #USTAWI ~ Rev. Dr. Eliona Kimaro

UKIELEWA FALSAFA HII BIDII YAKO ITAKULETEA MAFANIKIO MARA DUFU, #USTAWI ~ Rev. Dr. Eliona Kimaro

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]