KIPINDI MAALUM BENKI KUU YA TANZANIA - IDARA YA KUMLINDA MTUMIAJI WA HUDUMA ZA KIFEDHA.
Автор: Tanga TV Online
Загружено: 2026-01-22
Просмотров: 121
Описание:
Benki kuu ya Tanzania (BOT) Kupitia Idara ya Kumlinda Mtumiaji wa Huduma za kifedha imefanya mahojiano mbashara na kituo cha Tanga television.
Katika mahojiano hayo Afisa Sheria Mwandamizi wa kurugenzi ya ustawi na huduma jumuishi za kifedha (BOT) Ramadhan Myonga amesema wananchi wanapaswa kuwa na elimu juu ya huduma za kifedha hasa pindi wanapopanga au kuhitaji kuchukua mikopo katika Taasisi mbalimbali ili kujiepusha na migogoro inayojitokeza wakati wa urejeshaji mikopo.
Benki kuu ya Tanzania kupitia idara ya Kumlinda Mtumiaji wa Huduma za Kifedha inashiriki maadhimisho ya wiki ya huduma za kifedha yanayofanyika katika viwanja vya Usagara Jijini Tanga.
Maadhimisho hayo yamebeba kauli mbiu isemayo "Elimu ya Fedha ni msingi wa maendeleo ya kiuchumi na Jamii".
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: