KIBOKO wa DAWA za KULEVYA WALIVYONASWA DAR WAKIWA na DAWA ZAO..
Автор: Global TV Online
Загружено: 2020-04-16
Просмотров: 37190
Описание:
KIBOKO wa DAWA za KULEVYA WALIVYONASWA DAR WAKIWA na DAWA ZAO..
Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya imefanikiwa kumkamata kigogo wa dawa za kulevya raia wa Nigeria Kanayo David Chukwu (39) mkazi wa Masaki na raia wawili wa Tanzania Alistair Amon Mbele (38) ambaye ni mkutubi wa chuo kikuu cha Aghakan jijini Dar es Salaam, mkazi wa Mbezi Kibanda cha mkaa na Isso Romward Lupembe (49) mkazi wa Mbezi Louis na Changanyikeni jijini Dar es Salaam.
Watuhumiwa wamekamatwa na dawa za kulevya aina ya Heroin zinazokadiliwa kuwa na zaidi ya kilogramu 270 zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye moja ya nyumba iliyopo Mbezi kibanda cha mkaa jijini Dar es Salaam.
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
(+255 784 888982)
(+255 676 229628)
Email: [email protected]
[email protected]
HABARI MPYA DAILY:
http://bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV:
http://bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW:
http://bit.ly/exclusive_interviews
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: