ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE

Автор: G Online

Загружено: 2021-07-20

Просмотров: 118653

Описание: Mafanikio, kwako wewe yana maana gani? Kila mmoja ana maana yake ya mafanikio wengine Furaha, Amani, uhuru, wengine pesa umaarufu, majumba, magari. So inategemee how you define success on your terms. Ukijua maana ya mafanikio kwako basi ni muhimu sana kujua pia mambo ambayo yanaweza kukuzuia wewe kufikia mafanikio unayotaka katika maisha.Mambo 8 ya kuacha ili ufanikiwe katika maisha.Najua kila mtu ana ndoto ya kufanikiwa siku moja. Lakini haiwezi kutokea tu naturally mafanikio yakaja bila wewe kuandaa msingi wake mzuri. Mafanikio yanajengwa na msingi wa tabia fulani zenye muendelezo na pia kuna tabia fulani ukiwa nazo basi kamwe huwezi pata mafanikio. Fuatilia mambo 6 ya kuacha ili ufanikiwe"
Karibu tujifunze mambo saba (6) leo unayotakiwa kuyaacha kabisa kama lengo ni kufanikiwa.

🔴Nimeanzisha Podcast yangu mpya inaitwa Gonline kwenye Afripods, link hii 👉 https://afripods.africa/

🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL👉    / gonlineposi.  .

Usiache pia kuniandikia mawazo kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi.

🔴Nifuate IG-   / gonline_pos.  .

BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: [email protected] WHATSAPP : (+255) 629-718385 ............................................................................................................................ Pakua Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia
1.Kurank videos zako
2.Itakuonesha Live subscribers count
3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi,
4.Kupata Keyword explorer, download sasa

🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇
⚡SABABU 6 KWANINI KUFELI NI VIZURI KWA MAFANIKIO YAKO 👉   • SABABU 6 KWANINI KUFELI NI VIZURI KWA MAFA...  

⚡ TATIZO LANGU NI AIBU NASHINDWA KUKUTANA NA KUCHANGAMANA NA WATU (SOCIAL ANXIETY)| Zahir Gomelo 👉   • TATIZO LANGU NI AIBU NASHINDWA KUKUTANA NA...  

⚡Kila Kijana Anatakiwa KUSIKIA Hii/CHAGUA MARAFIKI SAHIHI KATIKA MAISHA 👉    • Kila Kijana Anatakiwa KUSIKIA  Hii/CHAGUA ...  

⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉    • TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufa...  

⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉    / 4vinlngo3q  

⚡TABIA 10 NZURI ZA KUFANYA KILA ASUBUHI ILI KUWA PRODUCTIVE (Best Morning Habits/Routine)👉   • TABIA 10 NZURI ZA KUFANYA KILA ASUBUHI ILI...  

⚡SIRI 5 ZA MAFANIKIO KWA MAISHA BINAFSI, BIASHARA (Funguo za mafanikio katika maisha.)👉    • SIRI 5 ZA MAFANIKIO KWA MAISHA BINAFSI, BI...  

⚡ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZO ZITAKUONESHA KUWA HAUPO TAYARI KUANZISHA BIASHARA KWA MUDA HUU👉   • ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZO ZITAKUONESHA KUWA ...  

⚡GUNDUA KUSUDIO LAKO KATIKA VIDEO HII YA DAKIKA 4/ How to find your PURPOSE Under 4 Minutes 👉   • GUNDUA KUSUDIO LAKO KATIKA VIDEO HII YA DA...  

⚡HATUA 5 ZA KUUSHINDA UOGA WA MAFANIKIO/ 5 STEPS HOW TO OVERCOME FEAR OF SUCCESS👉    • HATUA 5  ZA KUUSHINDA UOGA WA MAFANIKIO/ 5...  

⚡JINSI NINAVYOSAVE 50% YA KIPATO CHANGU- Tips 6 za kusave pesa ambazo zitakuza kipato chako👉    • JINSI NINAVYOSAVE 50% YA KIPATO CHANGU- Ti...  

#Mamb6 #Mafanikio #Zahirgomelo

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Mambo 8 Unayopaswa Kuacha Kufanya Sasa Kabla Hujachelewa

Mambo 8 Unayopaswa Kuacha Kufanya Sasa Kabla Hujachelewa

Bila Maamuzi Haya ni Ngumu Kwa Kijana Kutoboa

Bila Maamuzi Haya ni Ngumu Kwa Kijana Kutoboa

Kamwe usipokee zawadi hizi 10 kutoka kwa yeyote | zinaleta mikosi.

Kamwe usipokee zawadi hizi 10 kutoka kwa yeyote | zinaleta mikosi.

Sifa 8 Za Kushangaza Za Watu Wanaopenda Kuwa Peke Yao

Sifa 8 Za Kushangaza Za Watu Wanaopenda Kuwa Peke Yao

Kanuni 3 za Fedha zitakazokupa Mafanikio Ukizitumia - Joel Nanauka

Kanuni 3 za Fedha zitakazokupa Mafanikio Ukizitumia - Joel Nanauka

BIASHARA SABA 7 UNAZOWEZA FANYA UKIWA NA MTAJI MDOGO UKAPATA FAIDA KUBWA NA CHIEF GODLOVE

BIASHARA SABA 7 UNAZOWEZA FANYA UKIWA NA MTAJI MDOGO UKAPATA FAIDA KUBWA NA CHIEF GODLOVE

NAMNA YA KUTIMIZA MALENGO NA MAONO 2026

NAMNA YA KUTIMIZA MALENGO NA MAONO 2026

hizi ndizo nguvu saba za watu wakimya

hizi ndizo nguvu saba za watu wakimya

DENIS MPAGAZE - KAMA UNASUBIRI KUPEWA BASI UTAKUFA BILA KUPOKEA

DENIS MPAGAZE - KAMA UNASUBIRI KUPEWA BASI UTAKUFA BILA KUPOKEA

USIWAAMBIE Watu Haya Mambo 8 Kama Unataka KUFANIKIWA Maishani — Namba 6 Itakushangaza!

USIWAAMBIE Watu Haya Mambo 8 Kama Unataka KUFANIKIWA Maishani — Namba 6 Itakushangaza!

Mambo Matano Yanayochelewesha Mafanikio Yako, YAEPUKE!  - Joel Nanauka

Mambo Matano Yanayochelewesha Mafanikio Yako, YAEPUKE! - Joel Nanauka

Mambo 11 ya Kisaikolojia Kuhusu Watu Watulivu (Wengi Hawajui Haya)

Mambo 11 ya Kisaikolojia Kuhusu Watu Watulivu (Wengi Hawajui Haya)

Siri 5 za Mafanikio Katika Dunia Inayobadilika Kila Siku 🌍 | JE! WE ULIKUWA UNAZIFAHAMU SIRI HIZO ?

Siri 5 za Mafanikio Katika Dunia Inayobadilika Kila Siku 🌍 | JE! WE ULIKUWA UNAZIFAHAMU SIRI HIZO ?

USIPOFANIKIWA KUPITIA SOMO HILI LA MR KABENDA BALETE UNAITAJI MAOMBI MAZITO

USIPOFANIKIWA KUPITIA SOMO HILI LA MR KABENDA BALETE UNAITAJI MAOMBI MAZITO

SIRI 4 ZA UTAJIRI KATIKA BIASHARA

SIRI 4 ZA UTAJIRI KATIKA BIASHARA

Mambo 7 ya kuacha ikiwa unataka kuwa tajiri

Mambo 7 ya kuacha ikiwa unataka kuwa tajiri

Mwelekeo Mpya Wa Maisha Yako Utengeneze Hivi - Dr Joel Nanauka

Mwelekeo Mpya Wa Maisha Yako Utengeneze Hivi - Dr Joel Nanauka

Mipaka 7 Inayofanya Watu Wakuheshimu

Mipaka 7 Inayofanya Watu Wakuheshimu

Mambo 7 Ya Kuacha Ili Ufanikiwe

Mambo 7 Ya Kuacha Ili Ufanikiwe

Mambo 10 ya kuzingatia kabla ya kuja kujutia maishani – SIRI AMBAZO WENGI HUZIGUNDUA BAADAE

Mambo 10 ya kuzingatia kabla ya kuja kujutia maishani – SIRI AMBAZO WENGI HUZIGUNDUA BAADAE

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]