ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Maneno Haya manne (4) WAKRISTO wengi WANAYATUMIA VIBAYA. Mwl.Bryan

Автор: Trust the gospel ⏱️

Загружено: 2025-12-15

Просмотров: 133

Описание: Katika video hii nimeeleza kuhusu MANENO AMBAYO WAKRISTO WANAYATUMIA VIBAYA / HAYAWAPASI HATA KUTUMIA KATIMANENO AMBAYO WAKRISTO WANAYATUMIA VIBAYA / HAYAWAPASI HATA KUTUMIA KATIKA MUKTADHA FULANI.
HAKUNA ALIYE KAMILIKA.
UKAMILIFU ni Hali ya kuwa na utoshelevu juu ya Jambo Fulani Bila kupungukiwa na kitu.

Mpendwa hakuna aliye kamilika ni kwa wenye Mwili Bali walio katika Roho wanao Tembea na MUNGU wamekamilika kama Mungu alivyo mkamilifu.
UKAMILIFU WA NUHU. Mwanzo 6:9 Hivi ndivyo vizazi vya Nuhu. Nuhu alikuwa mtu wa haki, mkamilifu katika vizazi vyake; Nuhu alikwenda pamoja na Mungu.

UKAMILIFU WA IBRAHIM.Mwanzo 17:1 Abramu alipokuwa mtu wa miaka tisini na kenda, Bwana akamtokea Abramu, akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uende mbele yangu, ukawe mkamilifu.

UKAMILIFU WA DAUDI.2 Samweli 22:24 Nami nalikuwa mkamilifu kwake, Nikajilinda na uovu wangu.

UKAMILIFU WA AYUBU.Ayubu 1:1 Palikuwa na mtu katika nchi ya Usi, jina lake alikuwa akiitwa Ayubu; mtu huyo alikuwa mkamilifu na mwelekevu, ni mmoja aliyemcha Mungu, na kuepukana na uovu.
.
SHETANI ALINIPITIA (Muhubiri 5:6)

3. ROHO I RADHI BALI MWILI NI DHAIFU
(MATHAYO 26:41).

4. NAKUTANIA TU (MITHALI 26:18-19)
KA MUKTADHA FULANI.

2. SHETANI ALINIPITIA (Muhubiri 5:6)
Mhubiri 5:6 Usikiache kinywa chako kuukosesha mwili wako; wala usiseme mbele ya huyo malaika ya kwamba umepitiliwa; kwani Mungu akukasirikie sauti yako, na kuiharibu kazi ya mikono yako?

3. ROHO I RADHI BALI MWILI NI DHAIFU
(MATHAYO 26:41).Mathayo 26:41 Kesheni, mwombe, msije mkaingia majaribuni; roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu.

4. NAKUTANIA TU (MITHALI 26:18-19)
Mithali 26:18-19
18 Kama mtu mwenye wazimu atupaye mienge, Na mishale, na mauti;

19 Ndivyo alivyo amdanganyaye mwenzake, Na kusema, Je! Sikufanya mzaha tu?

#rapture #nenolamungu #endtimes #lastdayonearth #nenolamungu #holyspirit #rohomtakatifu #unyakuo #africa #trending #september #2025 #repentance #repent #africa #viralclips #unyakuo #tanzania #2025 #nenolamungu #ibadahonline #bible #zaburi #september #breakingnews #wordofgod #bibleverse #good #bollywood #gospelmusic #psalm #psalm23 #kenya

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Maneno Haya manne (4) WAKRISTO wengi WANAYATUMIA VIBAYA. Mwl.Bryan

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Ruszyła rządowa operacja niszczenia

Ruszyła rządowa operacja niszczenia "polskiego SAFE" Nawrockiego. Zobacz jak to robią!

Известные христианские песни🎶 10 песен

Известные христианские песни🎶 10 песен

WHY: Kwanini YESU Alitenda miujiza, Ishara na Ajabu katika watu...? Mwl.Bryan #ibadahonline

SIKU 1: Fundisho la YESU Juu ya mwanamke aliye Fumaniwa kwenye Uzinzi. Mwl.Bryan #revealjesus

ПРОРОЧЕСТВО ДАНИИЛА 8 ИСПОЛНЯЕТСЯ — И АНТИХРИСТ УЖЕ В ПУТИ

Disruptive Innovation  -E38 ■Nightime Economy■

HEKIMA  NI NINI??

HEKIMA NI NINI??

Maana ya Jina lako katika ulimwengu wa Roho. Mwl.Bryan #identityinchrist #name

Afrika inahitaji kuhubiriwa Upya

Afrika inahitaji kuhubiriwa Upya

Трамп против Ирана: большой военный провал США - Скотт Риттер

NINI HUTOKEA BAADA YA MAPENZI YA MUNGU KUTIMIZWA.? Mwl.Bryan #ibadahonline

Je UMEWAHI KUSOMA BIBLIA YOTE ⁉️. KARIBU MWAKA 2026 TUISOME.  Mwl.Bryan #ibadahonline #biblia #2026

HOPE: Je Wajua MA ELFU (1000..) YA WATU WANAOMBA KILA SIKU KWA AJILI YAKO. Mwl. Bryan.

«ГДЕ ОН СКАЗАЛ: Я БОГ?!» — Мусульманин в шоке от ответа

1 ПРИВЫЧКА ПЕРЕД СНОМ — И ЖИВОТ ИСЧЕЗАЕТ! Висцеральный жир сгорает после 55

NEEMA: MATUMIZI YA NEEMA KTK KUSHINDA DHAMBI (MILANGO YA DHAMBI IWAPO WAZI) Mwl.Bryan #ibadahonline

Je kuna Laana na Maagano ya Familia na ukoo  kwa waliomuamini YESU KRISTO !? Mwl.Bryan #jesus #love

MUNGU Hajibu kwa KUWAZA kwako (Mawazo) ila kwa KUFANYA kwako (Matendo).! #2025

EPUKA MTEGO HUU WA SHETANI UNAPOSOMA BIBLIA

Сошёл ли Иисус в ад после смерти? Тайна трёх дней раскрыта

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]