MUNGU Hajibu kwa KUWAZA kwako (Mawazo) ila kwa KUFANYA kwako (Matendo).!
Автор: Trust the gospel ⏱️
Загружено: 2025-02-24
Просмотров: 112
Описание:
Mawazo ni msukumo wa imani mbele za MUNGU ila ili kutokea imani yapasa kuwepo na matendo.
Mkabidhi Bwana njia zako na Mawazo yako yatathibitika Mithali 16:3. Mungu anataka tumpe matendo Yetu ili yale tuliyo ya waza ayakamilishe na sio kuwaza tu bila Kutenda.
Katika Kumbukumbu 28:1 Anasema utakapo sikia sauti, kwa bidii kutunza na kufanya. MUNGU anatutaka tumjue haswa ka kutenda.
Imani bila matendo imekufa.
• MADHARA YA KUITEGEMEA AKILI YAKO na KUMUAC...
• MAOMBI, MAWAZO, IMANI na MASHAKA❗#2025
#yesu #mungu #injili #jesus #sign #yesu #mungu #god #video #africa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: