TAZAMA MKE WA MAKAMU WA RAIS AKIPIKA/AVUTIWA NA MAPISHI YA RAIS SAMIA
Автор: bongotzfm
Загружено: 2024-11-04
Просмотров: 20466
Описание: Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango akipika kwa kutumia Nishati safi ya Kupikia ikiwa ni kutekeleza Azimio la Kizimkazi lilianzishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Kampeni ya Pika kijanja inayoongozwa na Bongo FM.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: