HUYU NDIYE MBUJEJE WA VINGUNGUTI: AFUNGUKA MAISHA YA USWAHILINI KWENYE PIKA KIJANJA
Автор: bongotzfm
Загружено: 2024-12-29
Просмотров: 509
Описание:
Suala la Elimu ya Nishati Safi ya Kupikia haina hadhi, Sio kwa Viongozi pekee wala Matajiri, ni kila Mtanzania. Wiki hii timu @pikakijanja imetia kambi kwa Bi Fatuma Mbujeje, Mama Lishe kutoka Vingunguti Dar es salaam.
Unajua nini kImetokea huko Uswahilini? Basi usikose kufuatilia Kipindi cha Azimio la Kizimkazi Kila Jumapili Kupitia TBC1 Kuanzia saa 12:30 Jioni, Kipindi ambacho kinahamasisha Matumizi ya Nishati safi ya Kupikia kupitia Kampeni ya @pikakijanja ya Bongo FM🔥🔥
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: