Mfanyabiashara matatani kwa tuhuma za kuuza dawa zisizofaa
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-05-17
Просмотров: 60
Описание:
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Ziwa Magharibi kwa kushirikiana na polisi wamemkamata mfanyabiashara Charles Ngasa kwa tuhuma za kuuza dawa za binadamu zisizofaa dukani kwake atika Mtaa wa Mwime Manispaa ya Kahama kinyume cha sheria.
#AzamTVUpdates
Imehaririwa na Tuya Ibrahim na @moseskwindi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: