Wakazi wa Nairobi wanalalamikia wizi wa magari
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-09-27
Просмотров: 57233
Описание: Wakazi katika mitaa tofauti ya jiji la Nairobi wanalalamikia kukithiri kwa visa vya wizi wa magari. Wizi huo ambao umekita mizizi hasa katika mitaa ya Buruburu na Utawala unaonekana kulenga aina maalum ya magari kama vile Toyota Fielder, na Toyota Axio. Magenge hayo yamekuwa yakiiba magari yakiwa yameegeshwa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: