Wasafiri wakwama barabara kuu ya Nakuru- Nairobi
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-12-23
Просмотров: 19364
Описание: Mamia ya wasafiri wanaotumia barabara kuu ya Nakuru kuelekea Nairobi walitatizika kwa siku ya pili mfululizo, kufuatia msongamano wa magari katika eneo la Limuru kaunti ya Kiambu. Akiongoza operesheni ya kupunguza msongamano huo, kamanda wa trafiki Sarah Koki aliwarai madereva kuzingatia sheria za trafiki ili kupunguza visa vya msongamano.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: