UCHAMBUZI | Maadhimisho ya miaka 80 ya china yaliyoambatana na gwaride la kijeshi
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-09-04
Просмотров: 10836
Описание:
China imefanya maadhimisho ya miaka 80 tangu Japan iliposalimu amri katika vita vikuu vya pili vya dunia yaliyoambatana na gwaride kubwa la wanajeshi pamoja na silaha za kijeshi.
Je, maadhimisho ya gwaride la China ni njia mojawapo ya kuonyesha mataifa ya magharibi kuwa ina nguvu kijeshi?
Msikilize mchambuzi wa masuala ya kimataifa Ibrahim Rahbi akielezea zaidi.
Imeandaliwa na Juliana James
Mhariri | John Mbalamwezi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: