Sheikh wa Uamsho aeleza jinsi walivyoingia katika harakati za mabadiliko ya katiba
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2021-07-06
Просмотров: 27763
Описание:
Sheikh Msellem Ali ni moja ya vinara wa kundi la Uamsho ambao hivi karibuni waliachiwa nchini Tanzania baada ya kukaa mahabusu kwa zaidi ya miaka saba.
Katika mahojiano haya na mwandishi wa BBC Humphrey Mgonja, Sheikh Msellem anaeleza namna harakati zao katika mchakato wa mabadiliko ya katiba yalivyosababisha wakamatwe na kuzuiliwa mahabusu. Pia anazungumzia maisha yao ya kila siku ya gerezani yalivyokuwa.
#bbcswahili #Tanzania #dini
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: