ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Profesa JANABI ataja sababu WATU kuzeeka mapema ''TUNZA afya ikusaidie UZEENI siyo FEDHA''

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2024-02-21

Просмотров: 189571

Описание: https://track.pari-tz.com/dc83e7da-03...

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema asilimia kubwa ya watu wanatunza fedha ili ziwasaidie uzeeni na kusahau kutunza afya zao.
Janabi amesisitiza tofauti na kutunza afya hakuna kitu kitakachokuwa na manufaa uzeeni kama afya imetetereka ikiwamo fedha.
"Nafikiri ungetunza afya ikusaidie uzeeni kwa sababu fedha hizi zitakuja kukusaidia kulipia matibabu ya magonjwa hospitalini. Unafanya kazi miaka, unahangaika mjini miaka yote ili ukipata fedha uanze kuja kulipia betri za moyo nafikiri hiyo sio nzuri," amesema Profesa Janabi.

Janabi amesema hayo alipofanya mahojiano na vyombo vya habari Jijini Dar es Salaam, huku akisema hajawahi kuwakataza watu wasile chakula, bali wasile ovyo na kula kwa wastani ili kuepuka magonjwa yasiyo ya lazima.
"Tunashauri kupunguza vyakula vya wanga na vyenye sukari.”
“Pia tunakataza ulaji wa vyakula vya kusindika, kwa sababu ili vikae muda mrefu kwenye shelfu lazima viwekwe kemikali, chumvi na sukari," amesema Profesa Janabi.

Ili kufahamu zaidi alichozungumza Profesa Janabi, usikose Jarida la Afya Februari 23, 2024 pia endelea kufuatilia gazeti la Mwananchi na mitandao yake ya kijamii.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Profesa JANABI ataja sababu WATU kuzeeka mapema ''TUNZA  afya ikusaidie UZEENI  siyo FEDHA''

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Wanga Rafiki na Wanga adui kwa wengi kisukari,Uzito mkubwa na Kitambi

FUATANA NA PROF. MOHAMED JANABI AKIZUNGUMZA KWA KINA KUHUSU MAGONJWA YASIYO YAKUAMBUKIZA

FUATANA NA PROF. MOHAMED JANABI AKIZUNGUMZA KWA KINA KUHUSU MAGONJWA YASIYO YAKUAMBUKIZA

Profesa JANABI ataja sababu WATU kuzeeka mapema ''TUNZA afya ikusaidie UZEENI siyo FEDHA''

Profesa JANABI ataja sababu WATU kuzeeka mapema ''TUNZA afya ikusaidie UZEENI siyo FEDHA''

PROF. JANABI AFUNGUKA MAZITO KUHUSU KUWA DAKTARI WA KIKWETE ,AJIBU MAKOSA YANAYO FANYIKA

Печень молит о помощи! 3 знака на ногах — это симптомы рака и цирроза. Срочно проверьте себя!

EXCLUSIVE: NDUGU ZANGU WAMEUZA MALI ZANGU NYINGI, SASA HIVI NI KAMA NAANZA UPYA - PROFESA JAY PART 2

PROF JANABI AMJIBU MAZITO HAJI MANARA BAADA YA KUULIZWA KUHUSU LISHE, SIJAKATAA WATU WASILE

🔴 NJIA BORA YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME NA KUJIKINGA NA MAGONJWA SUGU #news #afya #bbc #nguvuzakiume

DUH! PROF.JANABI BILA UOGA APIGWA MASWALI MAZITO NA  WAANDISHI, SIKIA MAJIBU YAKE

KUJICHUA HAKUPUNGUZI NGUVU ZA KIUME, DAKTARI AFUNGUKA SABABU YA NGUVU ZA KIUME KUPUNGUA

Dakika 10 Za Prof Janabi Za Maswali Na Majibu Kuhusu Chakula Na Magonjwa

Fuatana na Prof. Mohamed Janabi ili kufahamu NJIA SITA ZA KUPUNGUZA UPANDAJI WA SUKARI KWENYE DAMU#*

Vyakula vya Wanga ni Hatari | Unaharibu Kizazi Chako| Vipimo Milioni 8

FAIDA ZA KUFUNGA KIAFYA NA Prof.JANABI, KULA MLO 1 AU MIWILI ILI KULINDA AFYA YA MWILI

Kijiji ambacho wanaume wote wamepigwa marufuku!

AMAKURU ARAMBUYE YA FLASH TV YO KUWA 29.12.2025

Dkt. Issac na Madhara ya Unywaji wa Energy I Fahamu Ufanyaji Kazi wa Figo, Ini na Moyo I Faida Zake

DKT. JANABI AFAFANUA JUU YA OPARESHENI YA VIPARA

АВИЦЕННА ЗНАЛ: ПОЖИЛЫЕ, НЕ МОЙТЕСЬ ТАК! ЭТО КРАДЕТ ГОДЫ ЖИЗНИ!

PROF. JANABI : WATU MIL.18 VIFO VYAO VINASABABISHWA NA UNGONJWA WA MOYO SABABU HIZI HAPA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]