BOB DAY FESTIVAL 2025 SINGIDA NA DODOMA
Автор: CALES TV
Загружено: 2025-05-13
Просмотров: 90
Описание:
SISINGIDA
Katika kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha nguli wa muziki wa Reggae duniani, Robert Nesta Marley maarufu kama Bob Marley, Umoja wa Rasta wa mikoa ya Singida na Dodoma waliungana kwa pamoja kumuenzi kwa vitendo vya upendo na mazingira.
Tarehe 11 Mei ya kila mwaka huwa ni siku maalum ya kumkumbuka Bob Marley na mchango wake kwa jamii kupitia muziki na ujumbe wa haki, upendo na amani. Mwaka huu, wafuasi wa Rastafari walimuenzi kwa kupanda miti zaidi ya 200 katika Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida.
Mbali na hilo, walitembelea Shule ya Msingi Ikungi, ambayo ni shule ya bweni kwa watoto wenye mahitaji maalum, na kuwapatia msaada wa madaftari zaidi ya 100, kalamu, na chakula, ikiwa ni ishara ya upendo na mshikamano wa kijamii.NGIDA
Katika kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha nguli wa muziki wa Reggae duniani, Robert Nesta Marley maarufu kama Bob Marley, Umoja wa Rasta wa mikoa ya Singida na Dodoma waliungana kwa pamoja kumuenzi kwa vitendo vya upendo na mazingira.
Tarehe 11 Mei ya kila mwaka huwa ni siku maalum ya kumkumbuka Bob Marley na mchango wake kwa jamii kupitia muziki na ujumbe wa haki, upendo na amani. Mwaka huu, wafuasi wa Rastafari walimuenzi kwa kupanda miti zaidi ya 200 katika Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida.
Mbali na hilo, walitembelea Shule ya Msingi Ikungi, ambayo ni shule ya bweni kwa watoto wenye mahitaji maalum, na kuwapatia msaada wa madaftari zaidi ya 100, kalamu, na chakula, ikiwa ni ishara ya upendo na mshikamano wa kijamii.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: