IGP Sirro afanya mabadiliko Polisi, Mwakalukwa aondolewa usemaji mkuu
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-12-04
Просмотров: 707
Описание: Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo kwenye njeshi hilo ambapo aliyekuwa msemaji mkuu wa jeshi hilo Barnabas Mwakalukwa amehamishiwa kuwa ofisa mnadhimu wa polisi mkoa wa Pwani huku nafasi yake ikichukuliwa na Ahmed Msangi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: