ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

KARANDINGA LA POLISI KUBEBA MAKADA WA CCM, RPC SIMIYU AELEZA SABABU

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2025-03-23

Просмотров: 6690

Описание: Wakati kitendo cha karandinga ya Jeshi la Polisi kubeba makada na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi kikiibua mjadala kwenye mitandao ya kijamii, Kamanda wa Polisi mkoani humo ametaja sababu ya makada hao kubebwa na gari hiyo.

Gari hilo lenye namba za usajili PT 4342 lilionekana limetumika kubeba wanachama hao ambao walihuduria sherehe za mkoa huo za  miaka 4 ya Uongozi wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan zilizofanyika Machi 22,2025 katika viwanja wa CCM mjini Bariadi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumapili Machi 23,2025 kwa Umma na Kamanda wa Polisi mkoa wa Simiyu,Edith Swebe imeeleza kuwa gari hilo lilitoa msaada kwa wanachama hao walioharibikiwa na gari wakiwa njiani kuelekea mjini Bariadi.

Taarifa hiyo imezidi kueleza kuwa Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai(OC CID)wa wilaya ya Itilima ambaye alikuwa katika gari hilo la polisi alimuamuru dereva wa gari kusimamisha ili kujua wananchi hao walikuwa na tatizo gani.

Wananchi hao walieleza kuwa walikuwa wameharibikiwa na gari walikuwa wakisafiria na wakaomba msaada wa usafiri kwenye gari hilo la polisi.

Jeshi la polisi mkoa wa Simiyu linakanusha kuwa  halikubeba wanachama wa CCM bali lilitekeleza wajibu wake wa kisheria wa kulinda  usalama wa raia na mali zao.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
KARANDINGA LA POLISI KUBEBA MAKADA WA CCM, RPC SIMIYU AELEZA SABABU

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Pacha wa kike waliojijengea umaarufu kwa kazi ya upagazi Mlima Kilimanjaro

Pacha wa kike waliojijengea umaarufu kwa kazi ya upagazi Mlima Kilimanjaro

"RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza nae, nimempa siku 3' - MSUKUMA

Habari za Ulimwengu I 07.03.2026

Habari za Ulimwengu I 07.03.2026

SAKATA LA PLOTI YA MASHIMBA LACHUKU SURA MPYA, WAKILI WA RUBEYA AFAFANUA

SAKATA LA PLOTI YA MASHIMBA LACHUKU SURA MPYA, WAKILI WA RUBEYA AFAFANUA

"CORONA HAICHAGUI, UWE ASKARI AU NANI, BORA UFE PEKEYAKO" - ASIAGO

DISASTER! 🛑 Iko Nini Studio Submerged in Nairobi Flood

DISASTER! 🛑 Iko Nini Studio Submerged in Nairobi Flood

KADA wa CCM AJILIPUA -

KADA wa CCM AJILIPUA - "RAIS SAMIA MUACHIE TUNDU LISSU - INATIA DOA UONGOZI WAKO BORA"...

WAZIRI MKUU;

WAZIRI MKUU; "HUYU MIMI NAONDOKANAE" KIJANA ALIYEMKOSHA WAZIRI MKUU ALAMBA SHAVU

CCM KUPAKIZA MAKADA KWENYE MIKUTANO | ATIKI AFICHUA MAZITO KWA MARA YA KWANZA, UKWELI NI HUU HAPA

CCM KUPAKIZA MAKADA KWENYE MIKUTANO | ATIKI AFICHUA MAZITO KWA MARA YA KWANZA, UKWELI NI HUU HAPA

Kwanini Watanzania sio wengi ughaibuni? Kwanini dual citizenship ni ngumu kuipata Tanzania?

Kwanini Watanzania sio wengi ughaibuni? Kwanini dual citizenship ni ngumu kuipata Tanzania?

Halaiki yaonesha Mbwembe Mbele Ya Rais Wa Zanzibar

Halaiki yaonesha Mbwembe Mbele Ya Rais Wa Zanzibar

NAFASI ZA AJIRA JESHI LA POLISI  ZATANGAZWA , MWISHO WA KUTUMA MAOMBI  NI APRILI  4

NAFASI ZA AJIRA JESHI LA POLISI ZATANGAZWA , MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI APRILI 4

🔥СЕЙЧАС! В Иране СТРАШНЫЙ ЗАМЕС: всё В ОГНЕ (ВИДЕО). В Тегеране зреет ПЕРЕВОРОТ: ⁨@DRUGAYA_STRANA

🔥СЕЙЧАС! В Иране СТРАШНЫЙ ЗАМЕС: всё В ОГНЕ (ВИДЕО). В Тегеране зреет ПЕРЕВОРОТ: ⁨@DRUGAYA_STRANA

TIRA YATOA MAFUNZO YA BIMA KWA JESHI LA POLISI MKOA WA GEITA KUIMARISHA USIMAMIZI WA MADAI YA AJALI

TIRA YATOA MAFUNZO YA BIMA KWA JESHI LA POLISI MKOA WA GEITA KUIMARISHA USIMAMIZI WA MADAI YA AJALI

POLISI WAZUIA MKUTANO WA MAKAMU MWENYEKITI MH.JOHN HECHE MBARALI

POLISI WAZUIA MKUTANO WA MAKAMU MWENYEKITI MH.JOHN HECHE MBARALI

Kaya 14 zakosa makazi Moshi baada ya nyumba zao kuzingirwa na mafuriko

Kaya 14 zakosa makazi Moshi baada ya nyumba zao kuzingirwa na mafuriko

🅻🅸🆅🅴  KADA WA CCM ANAFICHUA MADUDU YALIYOJIFICHA NDANI YA CHAMA

🅻🅸🆅🅴 KADA WA CCM ANAFICHUA MADUDU YALIYOJIFICHA NDANI YA CHAMA

Baadhi ya barabara kata ya Korongoni zageuka mto, wananchi washindwa kupita na magari yao

Baadhi ya barabara kata ya Korongoni zageuka mto, wananchi washindwa kupita na magari yao

⚡АСЛАНЯН: Эрдоган РАЗОЗЛИЛСЯ! Балистика ЛЕТЕЛА на Турцию! Путин СРОЧНО собрал ВСЕХ!

⚡АСЛАНЯН: Эрдоган РАЗОЗЛИЛСЯ! Балистика ЛЕТЕЛА на Турцию! Путин СРОЧНО собрал ВСЕХ!

#BREAKING: DKT. SLAA AVUNJA UKIMYA, AWAOMBA RADHI WANA CHADEMA KWA KUHAMA CHAMA, AOMBA WAOMPOKEE...

#BREAKING: DKT. SLAA AVUNJA UKIMYA, AWAOMBA RADHI WANA CHADEMA KWA KUHAMA CHAMA, AOMBA WAOMPOKEE...

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]