Walitwambia tugawane majimbo au wangeyachukuwa yote, tukawaambia yachukuweni - OMO | GUMZO LA LEO
Автор: Gumzo la Ghassani
Загружено: 2025-11-19
Просмотров: 44706
Описание: Aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, amefunuwa ukweli kuwa kabla ya uchaguzi wa Oktoba 28 na 29, alifuatwa na watawala kuwa aidha akubali kugawana majimbo au wangeyachukuwa yote. Naye akakataa na badala yake akawataka kama wanataka kuchukuwa wachukuwe lakini bila uchaguzi huru na wa haki, ACT isingekubali chochote.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: