Jeshi la polisi laanza msako wa ‘wakata mapanga’ simiyu
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-12-30
Просмотров: 678
Описание:
Kamanda wa polisi mkoa wa Simiyu Deusdedith Nsimeki amewataka wale wote wanaojihusisha na vitendo vya mauaji kwa kukata watu mapanga kujisalimisha Mara moja kabla hawajafikiwa na mkono wa polisi.
Kamanda Nsimeki ametoa agizo Hilo alipokua katika dolia ya kuwasaka watuhumiwa wa matukio mbalimbali ya mauaji katika Kijiji Cha Ngala kata ya Ngulyati Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi ambapo pia alimemtembelea moja ya manusura wa matukio hayo Lemi Mlelema mkazi wa Kijiji hicho aliyekatwa mapanga mwaka 2015 kijijini hapo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: