TAREHE::17_1_2026::MOTO UNAO KUTAKASA ILI UFANIKIWE. || PR.DAVID MMBAGA
Автор: Imani hai🙏
Загружено: 2026-01-16
Просмотров: 5263
Описание: Ili kuyaelekea mafanikio yako kuna nyakati tofauti tofauti ambazo tunakutana au kuzipitia katika hayo yote huwa ni moto tu wa kukutakasa ili ufikie mafanikio yako, MUNGU wetu mwema huruhusu tupitie nyakati hizo ili kutuimarisha kwa ajili ya kazi yake kubwa atakayotupa kwa ajili ya utume. Ikiwa atakupatia fedha basi ujue ni kwa ajili ya kazi yake ya utume, ikiwa ni kazi nayo ni hivyo hivyo. Jifunze kujua nyakati mbalimbali ambazo BABA yetu ataruhusu tuzipitie kupitia video hii #imanihai #prdavid #prmmbaga #moto #motowamtakasaji #barakazamungu @MahubiriPrMmbaga @HopeChannelTanzania #education
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: