Upimaji wa VVU au HIV: Hadithi ya Sophia | Breaking Barriers, Swahili
Автор: Terrence Higgins Trust
Загружено: 2022-10-06
Просмотров: 506
Описание:
Ni muhimu kwetu sote kupima virusi vya Ukimwi VVU au HIV mara kwa mara na kwa kawaida ili kuhakikisha kwamba kama tutagunduliwa, iwe upo katika hatua ya awali ya maambukizi. Sophia (sio jina lake halisi) anashirikisha hadithi yake kuhusu upimaji wa kawaida wa mara kwa mara. Anatueleza jinsi matibabu ya VVU hivi sasa yanamaanisha kwamba watu wanaoishi na VVU wanaweza kuendelea na umri wa kawaida wa kuishi bila ya kuueneza kwa wengine.
Fahamu zaidi kuhusu upimaji wa VVU: https://www.tht.org.uk/hiv-and-sexual...
English version: • HIV Testing: Sophia's story | Breaking Bar...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: