MB zako zinakwisha haraka?
Автор: Tech Africa
Загружено: 2021-09-21
Просмотров: 3679
Описание:
Mambo vipi East Africa, kweny video hii ya leo tunakwenda kuangalia ni namna gani utaweza kuzuia MB zako zisiwe zinakwisha haraka. Mara nyingi sana unakuta umejiunga kifurushi lakini ghafla tu MB zimekwisha.
Kuna njia mbali mbali za kuweza kuchunguza na kujua kwanini MB zako zinaisha haraka lakini pia kuweza kutambua jinsi ya kubania matumizi ya MB zako.
Unaweza kupata habari zaidi kwa kutufuata instagram
www.instagram.com/tech_africa
www.twitter.com/techafrica1
www.facebook.com/tekfrika
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: