Bidhaa nilizoagiza China zimefika mapema sana, Tuzifungue tuone.
Автор: Tech Africa
Загружено: 2023-01-01
Просмотров: 4501
Описание:
Tarehe 7 December 2022 niliagiza bidhaa nne kutoka China kupitia kampını ya Aliexpress na ndani ya siku 12 nilipata message kuwa mizigo imefika. Hii ndio mara ya kwanza mango kuwahi kufika Sana kuliki mara zote nilizoagiza, kwenye video hii nimeongelea Imekuaje mizigo ikawahi sana kufika na ni jinsi gani na wewe utaweza kuagiza mizigo yako na ukaipata ndani ya wiki mbili.
Tucheki kwenye mitandao yetu ya kijamii
www.instagram.com/tech_africa
www.twitter.com/techafrica1
www.facebook.com/tekfrika
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: