HESLB
Автор: TASAF Tanzania
Загружено: 2025-07-01
Просмотров: 93
Описание: Mfuko wa Maendeleo ya Jamii –TASAF tunfanya kazi kw aukaribu na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ambapo ushirikiano huu unawawezesha wanafunzi wanaotokana na Kaya za Walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini, Kutambuliwa na HESLB na kupata mikopo ya elimu ya juu. Ushirikiano huu unawawezesha wanafunzi hao kutimiza ndoto zao pamoja na kuondoa mnyororo wa umaskini.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: