ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Mapigo Ya Baragumu Sura ya 8 na 9

Автор: Bishop Dr. Fredrick Simon

Загружено: 2022-11-11

Просмотров: 2015

Описание: Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Mapigo Ya Baragumu Sura ya 8 na 9

Mapigo ya baragumu sita za mwanzo – Sura ya 8 na ya 9

Tuliangalia hapo juu, kwamba 8:1-5, hutaja habari za pigo la Muhuri ya Saba, wakati Mungu anajibu maombi ya watakatifu waliochinjwa kwa ajili ya ushuhuda wa Neno la Mungu, maombi yaliyoombwa wakati wa muhuri ya Tano (6:9-11). Sasa, yanayofuata ni mapigo ya Baragumu saba. Mapigo yote haya yatawapata wanadamu waliokataa kumwamini Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yao.

Baragumu ya Kwanza: Kutatokea mvua ya mawe na moto vilivyochangamana na damu 8:7. Pigo hili linafanana na pigo la saba juu ya Misri wakati wa Musa – Kutoka 9:18, 22-25.

Baragumu ya Pili: Theluthi ya bahari itageuzwa kuwa damu 8:8,9. Pigo hili lilikuwa ni pigo la kwanza la Musa juu ya Misri – Kutoka 7:20,21.
“Aligeuza damu mito yao. Na vijito wasipate kunywa” ZABURI 78:44

Baragumu ya Tatu: Theluthi ya maji yatakuwa machungu 8:10,11.
“13 Naye Bwana asema, Ni kwa sababu wameiacha sheria yangu niliyoweka mbele yao, wala hawakuitii sauti yangu, wala kuenenda katika hiyo; 14 bali wameenenda katika ushupavu wa mioyo yao wenyewe; na kuandamana na Mabaali, kama walivyofundishwa na baba zao. 15 Basi, Bwana wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Tazama, nitawalisha pakanga, naam, watu hawa, nami nitawapa maji ya uchungu wayanywe.” Yeremia 9:13-15.

Baragumu ya Nne: Theluthi ya jua, mwezi na nyota kupigwa ili pawepo giza 8:12. Hilo lilikuwa pigo la tisa katika Misri. Kutoka 10:21-23.

Baragumu ya Tano: Inatolewa ‘Ole’, ndipo mapepo mfano wa nzige watatokea juu ya nchi 9:1-12. Pigo kama hili lilikuwa ni pigo la nane juu ya Misri – KUTOKA 10:12-15.

Hawa nzige katika baragumu hii ya tano, si nzige wa kawaida, bali ni mapepo. Kwa sababu:-
i. Watatoka katika moshi wa kuzimu, ni viumbe wa kutoka kuzimu; hawatadhuriwa na moto wala moshi 9:3.
ii. Hawatakula majani, nzige wa kawaida hula majani 9:4.
iii. Watawatesa wanadamu, kinyume cha nzige wa kawaida 9:5,6.
iv. Nzige hawa wana mfalme 9:11. Tunasoma katika Mithali 30:27 kwamba nzige wa kawaida hawana mfalme.

Baragumu ya Sita: Itatolewa ‘Ole’ ya pili, ndipo malaika wanne wa ghadhabu watafunguliwa, nao wanakuja na watu wa ajabu kutoka kuzimu. Idadi ya watu wapatao milioni mia mbili (200,000,000) - 9:13-21.

Baragumu ya Saba: Inatajwa katika sura ya 11:15-19, wakati wa kipindi cha Pili cha Dhiki Kuu.

#ufunuowayohana #bishop #fredricksimon

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Mapigo Ya Baragumu Sura ya 8 na 9

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

DALILI ZA KUNYAKULIWA KWA KANISA | Askofu Dr. Fredrick Simon

DALILI ZA KUNYAKULIWA KWA KANISA | Askofu Dr. Fredrick Simon

Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Kipindi cha Dhiki Kuu (Muhuri nne na Farasi wanne)

Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Kipindi cha Dhiki Kuu (Muhuri nne na Farasi wanne)

Maandalizi Ya Unyakuo Wa Kanisa (SOMO ZIMA)

Maandalizi Ya Unyakuo Wa Kanisa (SOMO ZIMA)

Mch Moses Magembe - KITABU CHA 1WAKORINTHO

Mch Moses Magembe - KITABU CHA 1WAKORINTHO

JE KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA NI DHAMBI NA DR.MWALUSAMBO #kingdomphilosophy #biblestudy #bible

JE KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA NI DHAMBI NA DR.MWALUSAMBO #kingdomphilosophy #biblestudy #bible

UJIO WA DINI NA SERIKALI MOJA DUNIA NZIMA.(Askofu Ngonyani & Askofu Katunzi).

UJIO WA DINI NA SERIKALI MOJA DUNIA NZIMA.(Askofu Ngonyani & Askofu Katunzi).

MAFUNDISHO SAHIHI KUHUSU KITABU CHA UFUNUO WA YOHANA

MAFUNDISHO SAHIHI KUHUSU KITABU CHA UFUNUO WA YOHANA

Fafanuzi Rahisi Ya Kitabu Cha Ufunuo Wa Yohana - Sura Ya 4 (Wazee 24 na Wenye Uhai wa 4)

Fafanuzi Rahisi Ya Kitabu Cha Ufunuo Wa Yohana - Sura Ya 4 (Wazee 24 na Wenye Uhai wa 4)

Fafanuzi rahisi ya Kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Watakatifu Kipindi Cha Dhiki Kuu (Sura ya 7)

Fafanuzi rahisi ya Kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Watakatifu Kipindi Cha Dhiki Kuu (Sura ya 7)

FAFANUZI KUHUSU MAKANISA SABA(7) YA ASIA NDOGO - 2. SMIRNA (Na Bishop Dr. Fredrick Simon)

FAFANUZI KUHUSU MAKANISA SABA(7) YA ASIA NDOGO - 2. SMIRNA (Na Bishop Dr. Fredrick Simon)

Fafanuzi rahisi ya kitabu cha UFUNUO WA YOHANA  - Sura ya 11(Na Bishop Dr. Fredrick Simon)

Fafanuzi rahisi ya kitabu cha UFUNUO WA YOHANA - Sura ya 11(Na Bishop Dr. Fredrick Simon)

Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Sura ya 10 (Na Bishop Dr. Fredrick Simon)

Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Sura ya 10 (Na Bishop Dr. Fredrick Simon)

ASKOFU NGONYANI NA ASKOFU KATUNZI WATOA MSIMAMO KUHUSU CHANJO.

ASKOFU NGONYANI NA ASKOFU KATUNZI WATOA MSIMAMO KUHUSU CHANJO.

MAONO YA MWISHO YA DANIELI - Sura Ya 10 ya KITABU CHA DANIELI (Na. Askofu Dr. Fredrick Simon)

MAONO YA MWISHO YA DANIELI - Sura Ya 10 ya KITABU CHA DANIELI (Na. Askofu Dr. Fredrick Simon)

BARAKA ZA MBINGUNI NA HERI 7 - UFUNUO WA YOHANA Sura ya 22 (Na Askofu Dr. Fredrick Simon)

BARAKA ZA MBINGUNI NA HERI 7 - UFUNUO WA YOHANA Sura ya 22 (Na Askofu Dr. Fredrick Simon)

SWALI: WANAWAKE KUJIPAMBA JE NI DHAMBI-MASWALI NA MAJIBU

SWALI: WANAWAKE KUJIPAMBA JE NI DHAMBI-MASWALI NA MAJIBU

MJUMUISHO WA MAKANISA SABA (7) YA ASIA NDOGO

MJUMUISHO WA MAKANISA SABA (7) YA ASIA NDOGO

7 БИБЛЕЙСКИХ ОТКРОВЕНИЙ ОБ ИРАНЕ, КОТОРЫЕ ПРОИСХОДЯТ ПРЯМО СЕЙЧАС

7 БИБЛЕЙСКИХ ОТКРОВЕНИЙ ОБ ИРАНЕ, КОТОРЫЕ ПРОИСХОДЯТ ПРЯМО СЕЙЧАС

Māris Niklass -

Māris Niklass - "Par to IR jārunā!". VES kaitīgā iedarbība uz cilvēku veselību IR pierādīta!

3AM  ||  Mswada #1  ||  UJUMBE WA MALAIKA WATATU

3AM || Mswada #1 || UJUMBE WA MALAIKA WATATU

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]