DURU ZETU ALASIRI: MIL 57 ZAKUSANYWA MISENYI, CHINA MPATANISHI MZOZO WA MASHARIKI KATI | 05.03.2026
Автор: Kwizera TV
Загружено: 2026-03-05
Просмотров: 63
Описание:
DURU ZETU ALASIRI: Habari kuu jioni ya leo kitaifa, kimataifa, Ujumbe pitia Waza Wazua, Uchumi na biashara pamoja na na Dondoo za Michezo bila kusahau maoni yako kupitia 0710 977 977
Tuliyonayo alasiri ya leo.……
-Shilingi Milioni 57 zakusanywa Misenyi mkoani Kagera baada ya kukamatwa magari yaliyoingiza bidhaa nchini kinyume cha kisheria
-Naibu Waziri wa Maji, aitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam kuharakisha matumizi ya mita za malipo ya kabla.
NA
-China imejitolea kuwa mpatanishi kwenye mzozo wa sasa wa Mashariki ya Kati.
#rkduruhabari #radiokwizera #2026aminia
-------------------------------------------------------------------------------------------------------
Radio Kwizera Ngara Kagera Tanzania | Unaweza kuisikiliza Radio Kwizera kwa masafa mbalimbali: 97.7 KAGERA, MWANZA & GEITA | 93.7 KIGOMA | 89.5 SHINYANGA
Unaweza kusikiliza kwa njia ya mtandao kwa kubofya link hapo chini https://radiokwizera.co.tz/
LIKE | FOLLOW | SUBSCRIBE | COMMENT | SHARE
© All Rights Reserved to JRS Radio Kwizera 1995-2026
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: