Muimba Qaswida maarufu aliedaiwa kubakwa na kujiuwa Kazungumza kwa mara ya kwanza
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2018-06-06
Просмотров: 182422
Описание: Arafa ni muimbaji maarufu wa nyimbo za Qaswida ambaye nyimbo zake zimepata umaarufu sana kupitia nyimbo zake kama Jina langu Ramadhani, Mwanadamu Tambua, Mungu anaweza na Nipo kwenye ndoto. Muimbaji Arafa aliwahi kudaiwa kubakwa na yeye kujiuwa kitu ambacho kilifanya tumtafute na kazungumza kwa mara ya kwanza tangu taarifa hizo zimesambaa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: