DEREVA NDUKI BAADA ya KUSHTUKIWA na POLISI AMEBEBA MIFUKO 30 ya BANGI - ATELEKEZA GARI...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2023-12-31
Просмотров: 8811
Описание:
DEREVA NDUKI BAADA ya KUSHTUKIWA na POLISI AMEBEBA MIFUKO 30 ya BANGI - ATELEKEZA GARI...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamtafuta Dereva wa gari lenye namba za usajiri T.301 DPG na tela namba T.562 DNV Lori, Kampuni ya K.T. Abri ambaye ametelekeza gari hilo likiwa na mifuko 30 ya dawa za kulevya aina ya Bhangi yenye uzito wa kg.430.
Dereva huyo na waendesha pikipiki 6 walitoroka na kutelekeza pikipiki zao baada ya kushtukia mtego wa Polisi katika Kijiji cha Mangae kata ya Mangae Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro Disemba 31, 2023
Akiongea na Vyombo vya Habari katika eneo hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro ACP Alex Mkama ametoa wito kwa Wananchi kuendelea kuliamini Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu ili Jeshi la Polisi lizifanyie kazi kwa haraka na kuleta hali ya ushwari katika mkoa huu.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: