Kimeumana Handeni wanaojipenyeza kuwania ubunge 2025 wapewa onyo kali
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2021-07-24
Просмотров: 1022
Описание:
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Handeni mkoani Tanga Athumani Malunda amesema watawafikisha wanachama wote wanaoanza harakati za kutaka ubunge kwenye kamati ya maadili kwani kufanya hivyo kwasasa ni makosa.
Malunda amesema hayo kwenye kikao cha halmashauri kuu ya CCM kata ya Msasa jimbo la Handeni mjini kilichoitishwa na mbunge Reuben Kwagilwa na kusema kuwa,wamepata taarifa wapo watu wameshaanza kujipitisha hivyo chama hakiweza kuwavumilia.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: