CHEKECHE | Mpango wa Ufaransa, Uingereza, Canada wa kulitambua taifa la Palestina unamaanisha nini?
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-08-02
Просмотров: 4265
Описание:
Mwezi wa Julai umehitimishwa kwa baadhi ya mataifa makubwa — Ufaransa, Uingereza na Canada kubainisha dhamira yao ya kulitambua taifa la Palestina, wakati ambapo eneo hilo linaendelea kukumbwa na vita vya Gaza vinavyokaribia kutimiza miaka miwili ifikapo Oktoba mwaka huu.
Je, hatua hii inaashiria mabadiliko gani katika siasa za kimataifa na mwelekeo wa mzozo wa Mashariki ya Kati?
Ungana na Raymond Nyamwihula pamoja na mchambuzi wa siasa za kimataifa, Godfrey Mchungu, katika CHEKECHE, kufahamu undani wa suala hili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: