E HABARI MARCH 16 2026/PAROKO LUGAZI ASEMA SSEBO AMEACHA ALAMA KUU KATIKA KUSAIDIA WATU NA KANISA
Автор: EFM TANZANIA
Загружено: 2026-03-16
Просмотров: 340
Описание: MWILI wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Biashara katika Kituo cha EFM na TVE, Denis Busulwa maarufu kama Ssebo, umewasili salama nchini Uganda, ambapo leo Machi 16 marehemu amefanyiwa misa maalumu katika Kanisa Katoliki, Jimbo la Lugazi, Kampala.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: