E HABARI MARCH 13 2026/WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO WAONESHA MAENDELEO YA KIAFYA DORCAS HOME
Автор: EFM TANZANIA
Загружено: 2026-03-13
Просмотров: 72
Описание: WATOTO 20 kati ya 70 wenye matatizo ya mtindio wa ubongo wanaolelewa kupitia taasisi ya Dorcas Foundation wameanza kuonesha matokeo ya kurejea katika hali ya kawaida, ikiwemo kutembea pamoja na kufanya vitendo vinavyotoa matumaini ya kupona kutokana na changamoto ya mtindio wa ubongo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: