Shule Maalum ya Bweni na Sayansi kwa Ajili ya Wanafunzi wa Kike Pwani.
Автор: MAELEZO TV
Загружено: 2023-11-08
Просмотров: 3562
Описание:
Shule hii ya Sekondari Bibi Titi Mohamed iliyopo Rufiji mkoani Pwani ni miongoni mwa shule 26 maalum za Sekondari za Bweni na Sayansi kwa ajili ya wanafunzi wa kike ambazo zimejengwa kila mkoa nchini kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) wa miaka mitano.
#Tumewasikiatumewafikia
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: