ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Mahundi:Shule ya Wasichana ya Lindi- Kilangala kupata huduma ya maji kabla ya tarehe 5 Agosti, 2023

Автор: MbeyaYetuOnlineTV

Загружено: 2023-07-18

Просмотров: 489

Описание: Shule ya Wasichana ya Lindi- Kilangala kupata huduma ya maji kabla ya tarehe 5 Agosti, 2023

18 Julai, 2023 ( Mchinga)

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Maryprisca Mahundi ameendelea kuambatana na Mwenyekiti UWT TAIFA kwa ajili ya Ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi

Wakati wa Ziara hiyo, Mwenyekiti wa UWT TAIFA ametembelea na kukagua shule ya Sekondari ya wasichana Kilangala ambapo Naibu Waziri wa Maji ametolea ufafanuzi wa huduma ya kuboresha huduma ya maji katika shule hiyo kwa kutoa maagizo kwa RUWASA Mkoa wa Lindi kuwa ndani ya Wiki Mbili wakamilishe Ulazaji wa Mtandao wa mabomba wenye urefu wa Kilomita *19 ili kuhakikisha shule hiyo inapata huduma ya maji kwa muda wote.

Kwa upande wa Mwenyekiti wa UWT TAIFA Ndugu Mary Pius Chatanda amefurahishwa kwa jitihada hizo na kusema kuwa Wizara ya Maji ikiahadi inatekeleza.

Vilevile, Naibu Waziri wa Maji ameeleza kuwa Serikali inaendelea na utekelezaji wa mradi wa usambazaji maji kutoka Mjini Lindi hadi Mchinga kwa gharama ya Bilioni 13

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mahundi:Shule ya Wasichana ya Lindi- Kilangala kupata huduma ya maji kabla ya tarehe 5 Agosti, 2023

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

RC MONGELA ASHTUKIZA KWENYE SHULE ya WASICHANA ya SAMIA SEKONDARI LONGIDO - MWAKA HUU KUANZA RASMI..

RC MONGELA ASHTUKIZA KWENYE SHULE ya WASICHANA ya SAMIA SEKONDARI LONGIDO - MWAKA HUU KUANZA RASMI..

Benki ya NMB kuchangia bati 100 moja ujenzi wa shule ya sekondari ya wasichana - Kilindi.

Benki ya NMB kuchangia bati 100 moja ujenzi wa shule ya sekondari ya wasichana - Kilindi.

SHULE ya WASICHANA ya SAYANSI ILIYOTUMIA SHIL BILIONI 4+ LINDI - WANAFUNZI WASHINDWA KUJIZUIA...

SHULE ya WASICHANA ya SAYANSI ILIYOTUMIA SHIL BILIONI 4+ LINDI - WANAFUNZI WASHINDWA KUJIZUIA...

Serikali yajenga kivuko Lindi

Serikali yajenga kivuko Lindi

MKOA WA LINDI ( DRONE Shots by director black fish)

MKOA WA LINDI ( DRONE Shots by director black fish)

TANGU MWAKA 1970 HATIMAYE SASA WANANCHI WA MABALANGA WAPATA ZAHANATI “TUMETESEKA SANA

TANGU MWAKA 1970 HATIMAYE SASA WANANCHI WA MABALANGA WAPATA ZAHANATI “TUMETESEKA SANA"

Wanajeshi feki walivyoingia kwenye 18 za Polisi Dodoma

Wanajeshi feki walivyoingia kwenye 18 za Polisi Dodoma

Kilakala Girls Form Six 2022 Graduation at Morogoro Tanzania 🇹🇿

Kilakala Girls Form Six 2022 Graduation at Morogoro Tanzania 🇹🇿

NI HUZUNI..MWANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU AFARIKI BAADA YA KUANGUKA KATIKA CHOO CHA SHULE MBEYA

NI HUZUNI..MWANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU AFARIKI BAADA YA KUANGUKA KATIKA CHOO CHA SHULE MBEYA

ДО СЛЁЗ! ОТЕЦ СЖЕГ НАСЛЕДСТВО НА МОГИЛЕ МАТЕРИ, КОГДА УЗНАЛ, ЧЕМ ЗАНИМАЛСЯ СЫН!

ДО СЛЁЗ! ОТЕЦ СЖЕГ НАСЛЕДСТВО НА МОГИЛЕ МАТЕРИ, КОГДА УЗНАЛ, ЧЕМ ЗАНИМАЛСЯ СЫН!

Dkt. Tulia Aunga Mkono Ujenzi wa Barabara Bombambili kwa Mifuko 100 ya Saruji na tripu 10 za mawe

Dkt. Tulia Aunga Mkono Ujenzi wa Barabara Bombambili kwa Mifuko 100 ya Saruji na tripu 10 za mawe

Form IV Graduation Ceremony - Bright Future Girls Secondary School

Form IV Graduation Ceremony - Bright Future Girls Secondary School

🤯МЕГАСКАНДАЛ в СТУДИИ Соловьева. ШАХНАЗАРОВ ПУБЛИЧНО ОПУСТИЛ Путина. Их ТЕПЕРЬ закроют?

🤯МЕГАСКАНДАЛ в СТУДИИ Соловьева. ШАХНАЗАРОВ ПУБЛИЧНО ОПУСТИЛ Путина. Их ТЕПЕРЬ закроют?

RC MRINDOKO AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA SHULE YA MCHEPUO WA KIINGEREZA TANGANYIKA DC.

RC MRINDOKO AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA SHULE YA MCHEPUO WA KIINGEREZA TANGANYIKA DC.

🔴 СРОЧНО АВИАУДАР ПО МИТИНГУ В ИРАНЕ, БАЛЛИСТИКА ПО ТУРЦИИ #новости #одиндень

🔴 СРОЧНО АВИАУДАР ПО МИТИНГУ В ИРАНЕ, БАЛЛИСТИКА ПО ТУРЦИИ #новости #одиндень

😮ЯКОВЕНКО: В студии ЖЕСТЬ: Скабеева ПОБЕЛЕЛА! Путину КОНЕЦ, НЕСУТ НЕМЫСЛИМОЕ про

😮ЯКОВЕНКО: В студии ЖЕСТЬ: Скабеева ПОБЕЛЕЛА! Путину КОНЕЦ, НЕСУТ НЕМЫСЛИМОЕ про "СВО"

MWANAFUNZI AELEZA ALIVYONYIMWA KUMUONA MAMA YAKE, AJALI ILIYOUA WATU 4

MWANAFUNZI AELEZA ALIVYONYIMWA KUMUONA MAMA YAKE, AJALI ILIYOUA WATU 4 "YUPO ICU"

Shule Maalum ya Bweni na Sayansi kwa Ajili ya Wanafunzi wa Kike Pwani.

Shule Maalum ya Bweni na Sayansi kwa Ajili ya Wanafunzi wa Kike Pwani.

TISEZA YASIFIA UWEKEZAJI WA BILIONI 8 WA BABITO TRADING COMPANY MBEYA

TISEZA YASIFIA UWEKEZAJI WA BILIONI 8 WA BABITO TRADING COMPANY MBEYA

LEMA Asimulia GWAJIMA ALIVYOMWAMBIA LISSU

LEMA Asimulia GWAJIMA ALIVYOMWAMBIA LISSU "Usiende Dodoma, Utapigwa RISASI"

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]