1- Darsa | Kitaabu Sswiyam - AlFiqhul-Muyassar | Ustadh Abdulrashed Alhilaly حفظه الله
Автор: Alhilaly Media Pro
Загружено: 2026-02-10
Просмотров: 318
Описание:
Silsila Ya Darsa Za Kitabu cha Swiyām katika Fiqhul Muyassar kwa jumla inaelezea maana ya saumu, hukumu yake, masharti na nguzo zake, mambo yanayobatilisha na yanayoruhusu kuacha saumu, pamoja na hikima na adabu za ibada hii kwa mujibu wa Qur’ani na Sunnah kwa mtindo mwepesi na unaoeleweka.
1-Darsa Ya Kwanza | Saumu ni ibada ya kumcha Allah kwa kujizuilia na vitu vinavyofunguza saumu kuanzia alfajiri ya kweli hadi magharibi ya jua kwa nia, nguzo zake ni nia na kujizuia, na hukumu ya saumu ya Ramadhani ni faradhi ya lazima kwa kila Muislamu baleghe mwenye akili na uwezo.
🕌Masjid Ummu Salama Utawala Nairobi 23/08/1447H 11/02/2025M
#شرح_كتاب_الصيام_من_الفقه_الميسر
#Kitabu_swiyyam _alFiqhul_Muyassar Ustadh_Abdulrashed_alhilaly
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: