Kijana wa miaka 14 auawa na polisi mkesha wa kuulaki mwaka mpya
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-01-02
Просмотров: 325
Описание:
Familia moja jijini Mombasa inadai haki baada ya mwana wao mwenye umri wa miaka-14 kuuawa kwa kupigwa risasi na afisa wa polisi wakati wa sherehe za kuulaki mwaka mpya. Denis Ringa, ambaye ni mwanafunzi wa gredi ya sita katika shule ya msingi ya Utange, kaunti ndogo ya Kisauni alifariki saa chache baada ya saa sita usiku wa tarehe mosi, Mwezi Januari, katika kile walioshuhudia na jamaa za mwathiriwa wametaja kuwa hatua ya kutokabiliana na maafisa wanaoaminika kuhudumu katika kituo cha polisi cha Bamburi. Mauaji hayo yamezua ghadhabu, huku wakazi pamoja na mashirika ya kutetea haki za kibinadamu zikihoji matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya mwathiriwa huyo, huku miito ikiendelea kutolewa ya kutiwa nguvuni na kushtakiwa kwa afisa aliyehusika.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: