BANGI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI NNE YANASWA MOMBASA NA MAAFISA WA POLISI
Автор: Al Shifaa Television Kenya
Загружено: 2025-08-18
Просмотров: 2249
Описание:
Polisi katika Kaunti ya Mombasa wamefanikiwa kukamata trela lililokuwa likisafirisha bangi kutoka Nairobi kuelekea Mombasa, katika operesheni maalum iliyoongozwa na Kamanda wa Polisi wa Kaunti, Peter Kimani.
Lori hilo lilikamatwa katika eneo la Changamwe, ambapo magunia sita ya bangi yenye jumla ya misokoto 4,500, yenye thamani ya takriban shilingi milioni 4.5, yalipatikana.
Kamanda Kimani amesema uchunguzi unaendelea ili kuwabaini wahusika zaidi wa mtandao huo wa mihadarati, huku akiwasihi wananchi kushirikiana na maafisa wa usalama katika vita dhidi ya dawa za kulevya.
#trending #mombasa #news #likoni
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: