SIRI YA KUTAMBUA ENZI YAKO ILIYOTUKUKA | Bishop James Mdoe
Автор: BISHOP JAMES MDOE
Загружено: 2026-02-15
Просмотров: 47
Описание:
Kuna wakati katika maisha yako Mungu anaachilia enzi iliyotukuka juu yako — lakini wengi hawaijui kwa sababu hawajaitambua.
Ukigundua enzi yako, utaacha kuishi kwa mazoea na utaanza kuishi kwa mamlaka.
Ukijua msimu wako, utaacha kupambana na upepo na utaanza kutawala mawimbi.
👑 Hii ni sauti ya kinabii kwa wale walio tayari kuamka rohoni.
🔥 Ni wakati wa kutambua kile Mungu ameweka juu yako.
⚡ Usikubali kuishi chini ya kiwango cha enzi yako.
Tazama mpaka mwisho na ruhusu Neno hili likuinue kutoka kawaida hadi utukufu.
📖 “Na watoto wa Isakari walikuwa watu walio na akili za kujua nyakati…” (1 Mambo ya Nyakati 12:32)
#EnziYakoImetukuka #BishopJamesMdoe #Ufunuo #Mamlaka #NyakatiNaMajira #UjumbeWaLeo #MotoWaRoho #SautiYaKinabii
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: