Roho Izuiayo Mafanikio – Hii Ndio Sababu Unachelewa! | Bishop James Mdoe
Автор: BISHOP JAMES MDOE
Загружено: 2026-02-13
Просмотров: 49
Описание:
🚨 ROHO IZUIAYO MAFANIKIO – JINSI YA KUISHINDA | Bishop James Mdoe 🚨
Kuna watu wana bidii…
Kuna watu wana maombi…
Kuna watu wana vipaji…
Lakini bado mafanikio yanachelewa!
Huenda kuna Roho Izuiayo imekaa kimya ikizuia milango yako kufunguka.
Katika somo hili la ufunuo, utaelewa:
🔥 Dalili za roho izuiayo katika maisha
🔥 Kwa nini unakaribia kufanikiwa halafu mambo yanaharibika
🔥 Jinsi ya kusimama katika mamlaka na kuishinda
Usikubali kuishi chini ya kiwango chako.
Ni wakati wa kuvunja vizuizi na kuingia kwenye mafanikio yako halisi.
👇 Andika kwenye comments: “NINASHINDA VIZUIZI”
👍 Like
🔁 Share
🔔 Subscribe kwa mafundisho mengine yenye nguvu
#RohoIzuiayo #BishopJamesMdoe #Mafanikio #Mahubiri #Ufunuo #Ukombozi #SomoLaKiroho
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: