Serikali ya kajiado yalaumiwa kwa kuongeza ushuru wa ardhi
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-27
Просмотров: 575
Описание: Serikali ya Kaunti ya Kajiado imekuwa ikikiuka uamuzi wa mahakama uliotupilia mbali nyongeza ya ushuru kwenye vipande vya ardhi hadi shilingi 7,500 kama ilivyokuwa imependekezwa. Katika uamuzi uliotolewa tarehe 19 mwezi uliopita, mahakama iliamuru wazi kuwa kiwango halali cha ushuru ni shilingi elfu moja mia tano pekee
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: