Siasa za ripoti ya BBI
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2019-12-07
Просмотров: 4814
Описание: Wabunge wa eneo la mlima Kenya wanaoegemea mrengo wa naibu rais William Ruto wameonekana kubadili mkondo kuhusu mchakato wa jopokazi la maridhiano(BBI) baada ya hasira na cheche kali walizoelekezewa na rais Uhuru Kenyatta. Wabunge hao sasa wanasema hawana tatizo na mfumo wowote wa utekelezaji wa mapendekezo ya BBI; iwe ni bunge au kura ya maamuzi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: