Siasa za mchakato wa BBI zimeendelea kusheheni majukwaa
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2020-03-01
Просмотров: 4326
Описание: Siasa za bbi zilisheheni katika hafla ya mchango iliyofanyika katika kanisa la ack parish eneo bunge la khwisero kaunti ya kakamega. Naibu rais william ruto aliyeongoza hafla hiyo akisisitiza kuwa wakenya hawako tayari kushinikizwa kuunga mkono kile ambacho hawakipendelei . Ni kauli zilizoungwa mkono na viongozi kadhaa kutoka eneo waliohudhuria hafla hiyo. Siasa za bbi pia zikijitokeza katika kaunti ya laikipia ambapo aliyekuwa waziri mwangi kiunjuri na mbunge wa gatundu kaskazini moses kuria walihudhuria ibada katika kanisa ya kinamba catholic
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: