Q&A: kufahamu jinsi ya kuanzisha biashara ya nguo yenye faida
Автор: How to Start Business Channel
Загружено: 2025-07-05
Просмотров: 37
Описание:
Hiki ni kipindi ambacho Tan Business Channel inajibu maswali kutoka kwa wadau mbali mbali
Maswali yanahusu mambo ya ujasiriamali, uchumi na fedha kwa ujumla
Maswali ya kipindi cha week hii ni:
(a) Kufahamu jinsi ya kuanzisha biashara ya nguo yenye faida
(b) Jinsi ya kuchagua sehemu nzuri ya biashara
Unaweza uliza swali kupitia
Email: [email protected]
WhatsApp: 255 716682439
Tan Business Channel ina husika na kutoa elimu ya ujasiriamali kwa vijana. Tunatoa elimu ya jinsi ya kuanzisha na kuendeleza biashara. Tunafundisha misingi sahihi ya kuanzisha biashara. Tuna eleza jinsi ya kutambua fursa za kuanzisha biashara. Pia tunafundisha umuhimu wa kuchangua makundi ya wateja. Tuna sisitiza umuhimu wa kuwasiliana na wateja mara kwa mara kufahamu changamoto zao na mhitaji yao. Tunafundisha umuhimu wa kutengeneza hesabu za biashara. Hesabu za biashara husaidia kufahamu, kama biashara inapata faida au hasara. Kuhusu kuendeleza biashara tunafundisha umuhimu wa kutengeneza plan na kuwa na mifumo mizuri ya kuendesha biashara
Tan Business Channel inatoa elimu ya ujasiriamali kupitia vitabu, videos, website, Online School na Online Television
1. Kupata eBooks za Ujasiriamali, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
3. Website yetu: www.tanbusiness.co.tz
4. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
YouTube: / alimwambola
#jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwambola #tuongeebiashara #ujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: