Nyimbo za Mungu 226 - Nilikubali kutoa uzima wangu | Tabernacle de Kolwezi
Автор: Maranatha : Come, O Lord
Загружено: 2023-08-01
Просмотров: 2937
Описание:
Nyimbo za Mungu 226 - Nilikubali kutoa uzima wangu | Tabernacle de Kolwezi
1.
Nilikubali kutoa uzima wangu kwawe,
Na damu ilimwangika upate kuokolewa;
[ Kwa wewe niliutoa mwili, kwami utatoa nini ? ] BIS
2.
Na niliacha mungini wa Baba wangu ju-u,
Kufika huko dunia na giza lake na taabu;
[ Kwa wewe niliziacha mbingu, kwami uta-acha nini ? ] BIS
3.
Ee nilibeba uchungu kushinda mafikili,
Usi-ingie kwa moto kuteswa pale milele;
[ Kwa wewe nilizibeba zote, kwami utabeba nini ? ] BIS
4.
Kutoka kule mbinguni niliyaleta kwako
Mapendo, vile wokovu, na usamehe wa zambi;
[ Kwa wewe niliyaleta yote, kwami utaleta nini ? ] BIS
Below is the video where the song was extracted:
• Видео
Nyimbo za Mungu 226 - Nilikubali kutoa uzima wangu | Tabernacle de Kolwezi
#Maranatha
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: