KESI YA SABAYA: MAMBO 6 YAKUSHANGAZA YALIYOJITOKEZA MAHAKAMANI LEO..
Автор: Global TV Online
Загружено: 2021-06-18
Просмотров: 68553
Описание:
KESI YA SABAYA: MAMBO 6 YAKUSHANGAZA YALIYOJITOKEZA MAHAKAMANI LEO..
Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha wakikabiliwa na makosa mbalimbali likiwemo la uhujumu uchumi, utakatishaji fedha na kupokea rushwa
Kesi hiyo Leo imetajwa na kuahirishwa baada ya ofisi ya mwendesha mashitaka kuomba kuahirishwa kesi hiyo kutokana na ushahidi kutokamilika.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi tarehe 2/7/2021
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: