ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Profesa Kishimba: "Wasomi Walete Miti ya Miezi 6 I Wanakuona Mpuuzi I Inawezekana Wasipike na Wasile

Автор: CLOUDSMEDIA

Загружено: 2021-06-05

Просмотров: 146075

Описание: "HOJA ZA PROFESA KISHIMBA BUNGENI"
.
.
"Kuna sheria mpya imeanzishwa ambayo inamtaka mtu atakayekuwa na gunia moja la mkaa lazima apte kibali toka Halmashauri ya Wilaya na awe na EFD, labda wenzetu wangeangalia Jiografia ya nchi na maisha ya watu wetu. Tutarajie ndani ya mwezi mmoja kutatokea "chaos" kubwa ya mkaa na kwa kawaida itawezekana kweli watu wasipike na wasile?. Kuna majimbo kutoka makao makuu ya Halmashauri kwenda kijijini ni zaidi ya kilomita 200 kweli mwananchi mwenye gunia moja aende mpaka wilayani?"

"Kwetu kanda ya Ziwa ukimwambia mtu apande miti kwa ajili ya mvua anakuona ni mpuuzi maana yake tuna mafuriko miaka miwili, mwananchi atakuuliza je unataka tupande miti ya kuzuia mvua maana ukiwaambia unataka miti ya mvua wanakuuliza kuzidi hii iliyopo leo. Sisi tuwaambie panda miti ya kutengeneza pesa"

"Wakati mwingine mnasema tunawasakama wasomi, leo Tanzania ni nchi ya nne kwa ku-export mkaa wa magendo, sasa ukataaje kurasimisha ili upate pesa na wale wanaonunua wa magendo waje kununua pale kwenye soko.”

“Haiwezekani baada ya miaka 60 tukawapeleka watoto wasome wawe mgambo wa kukamata wazazi wao, kazi ya elimu duniani ni kutatua matatizo.

"Leo wazungu wametengeneza mpaka mapapai ya miezi 6, wametengeneza kuku wa kizungu kwanini hao wataalamu wasilete miti ya miezi 6 ili watu wauze kuni na mkaa, lazima twende kwenye pesa" Jumanne Kishimba-Mbunge Kahama Mjini

#KutokaBungeni
#CloudsDigitalUpdates

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Profesa Kishimba: "Wasomi Walete Miti ya Miezi 6 I Wanakuona Mpuuzi I Inawezekana Wasipike na Wasile

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KISHIMBA avunja wabunge mbavu kwa hoja zake: Trafiki wahamishiwe hospitalini mtu akikosa dawa aende

KISHIMBA avunja wabunge mbavu kwa hoja zake: Trafiki wahamishiwe hospitalini mtu akikosa dawa aende

Jumanne Kishimba: Hauwezi kuoa kwa friji au TV

Jumanne Kishimba: Hauwezi kuoa kwa friji au TV

JKL | 2026: BACKBENCH FIREBRANDS | BABU OWINO | NDINDI NYORO | PART 1

JKL | 2026: BACKBENCH FIREBRANDS | BABU OWINO | NDINDI NYORO | PART 1

MHE. KISHIMBA AJA NA NYINGINE HII KALI INAMUHUSISHA MLOKOLE MMOJA, MIZIMU NA MANDELA.

MHE. KISHIMBA AJA NA NYINGINE HII KALI INAMUHUSISHA MLOKOLE MMOJA, MIZIMU NA MANDELA.

Walimu waliokuwa na sifa za utoro wawafundishe wanafunzi watoro

Walimu waliokuwa na sifa za utoro wawafundishe wanafunzi watoro

Dakika 25 za hoja ya Mbunge Ole Sendeka, Mawaziri waingia 18 za Spika Tulia

Dakika 25 za hoja ya Mbunge Ole Sendeka, Mawaziri waingia 18 za Spika Tulia

Kishimba: Mwaka Mmoja Madarasa Manne | Mtoto Ambaye Hajasoma Ndiye Mwenye Faida

Kishimba: Mwaka Mmoja Madarasa Manne | Mtoto Ambaye Hajasoma Ndiye Mwenye Faida

MBUNGE KISHIMBA AWAVUNJA MBAVU WABUNGE BAADA YA KUINGIA NA UNIFORM ZA SHULE NA MADAFTARI KUWAONESHA

MBUNGE KISHIMBA AWAVUNJA MBAVU WABUNGE BAADA YA KUINGIA NA UNIFORM ZA SHULE NA MADAFTARI KUWAONESHA

Waziri KABUDI Amvunja Mbavu MAGUFULI -

Waziri KABUDI Amvunja Mbavu MAGUFULI - "NYERERE Asingekuwa MTANZANIA"

Mbunge Ataka Serikali Iruhusu Kilimo cha Bangi | Eka Moja Milioni 120

Mbunge Ataka Serikali Iruhusu Kilimo cha Bangi | Eka Moja Milioni 120

Kwa HISIA KALI Mbunge KISHIMBA aishauri haya Wizara ya elimu BUNGENI

Kwa HISIA KALI Mbunge KISHIMBA aishauri haya Wizara ya elimu BUNGENI

Mbunge Kishimba Asimulia Alivyoongea Kingereza kwenye Bunge la Misri / Wewe ni Mganga wa Bunge?

Mbunge Kishimba Asimulia Alivyoongea Kingereza kwenye Bunge la Misri / Wewe ni Mganga wa Bunge?

HAPATOSHI BUNGENI MPINA NA BASHE | HIZI NI DAKIKA 21 ZA MJADALA MKALI |

HAPATOSHI BUNGENI MPINA NA BASHE | HIZI NI DAKIKA 21 ZA MJADALA MKALI | "MPINA ULETE USHAHIDI"

Dakika 10 za Kishimba mbele ya MAPROFESA wa Tanzania kwenye kongamano la mitaala na sera ya elimu

Dakika 10 za Kishimba mbele ya MAPROFESA wa Tanzania kwenye kongamano la mitaala na sera ya elimu

MBUNGE KISHIMBA AJA NA HII KALI,

MBUNGE KISHIMBA AJA NA HII KALI, "WAFUNDISHWE SOMO LA KUTAFUTA PESA NA KUTUNZA /KIPAJI CHA KULIMA"

EXCLUSIVE NA KISHIMBA:SIRI YA UTAJIRI WANGU/ WATOTO WAFUNDISHWE KUTAFUTA HELA/SIJAWARITHISHA WANANGU

EXCLUSIVE NA KISHIMBA:SIRI YA UTAJIRI WANGU/ WATOTO WAFUNDISHWE KUTAFUTA HELA/SIJAWARITHISHA WANANGU

Kishimba aliacha Bunge hoi, ataka wanaoishia njiani wakisoma

Kishimba aliacha Bunge hoi, ataka wanaoishia njiani wakisoma "degree" wapewe vyeti vya nusu "degree"

KISHIMBA aendeleza hoja zake konki Bungeni ''anajua sana aise, lazima utamkubali''

KISHIMBA aendeleza hoja zake konki Bungeni ''anajua sana aise, lazima utamkubali''

"WABUNGE TUPEWE LAKI MOJA NA NUSU, HALAFU TUKAISHI MBAGALA" - MBUNGE KISHIMBA AWAVUNJA MBAVU WABUNGE

Dakika 59 Kishimba akimwaga Nondo akizungumza na wanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM

Dakika 59 Kishimba akimwaga Nondo akizungumza na wanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]