ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Dakika 25 za hoja ya Mbunge Ole Sendeka, Mawaziri waingia 18 za Spika Tulia

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2024-06-03

Просмотров: 70148

Описание: Spika w Bunge, Dk Tulia Ackson ameielekeza Serikali ikafanyie kazi madai ya mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka kwamba Serikali imepanga kuchukua vijiji 80 vya wafugaji wa Simajiro na vijiji vingine kadhaa vya wafugaji wa maeneo mingine kwa ajili ya hifadhi ya wanyamapori.

Hayo yametoke bungeni leo Jumatatu ya Juni 3, 2024 wakati wa mjadala wa bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo Spika alitoa maelekezo hayo baada ya maelekezo yake ya kwanza ya kumtuma Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) anayeshughulikia Elimu, Zainabu Katimba kumtafuta Mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Simanjiro, Gracian Makota ili aeleze kama aliandika barua hiyo.

“Nimepokea barua hapa kutoka kwa mheshimiwa Ole Sendeka hii barua imeandikwa na mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Simanjiro, Gracian Makota (amekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro toka Agosti 2021).

“Mheshimiwa Naibu Waziri wa Tamisemi huyu bado ni mkurugenzi wa Simanjiro (sauti zikasikika ndiyo). Mheshimiwa Naibu Waziri hebu nenda hapo nje mpigie simu kuhusu hii barua.

Barua imeandikwa kwa ofisa mtednaji Kijiji cha olcholoni tarehe 16 tathmini ya maeneo yenye wanyamapori katika mapori ya Simanjiro na Berela na Simanjiro Kitiangare. Mkurugenzi akaseme aliandika hiyo barua au hapana.”

Tazama zaidi.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Dakika 25 za hoja ya Mbunge Ole Sendeka, Mawaziri waingia 18 za Spika Tulia

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Ole Sendeka Adondosha Machozi Kwa Nyimbo Maalum Kwake Na  Timu Ya Tumaini Partimayo

Ole Sendeka Adondosha Machozi Kwa Nyimbo Maalum Kwake Na Timu Ya Tumaini Partimayo

🔴#LIVE: CLEMENCE MWANDAMBO ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU AFICHUA ALICHOAMBIWA BAADA YA KUKAMATWA...

🔴#LIVE: CLEMENCE MWANDAMBO ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU AFICHUA ALICHOAMBIWA BAADA YA KUKAMATWA...

"SITAKI KUBISHANA NA WEWE" - OLE SENDEKA AMWAMBIA SPIKA TULIA BILA KUPEPESA, MVUTANO MKALI WATOKEA..

Dkt. Nchimbi, Ole Sendeka baada ya kuteuliwa

Dkt. Nchimbi, Ole Sendeka baada ya kuteuliwa

OLE SENDEKA AMCHONGEA RC SENDIGA BUNGENI 'SIWEZI KUMPIGIA MAGOTI/HATUSALIMIANI'

OLE SENDEKA AMCHONGEA RC SENDIGA BUNGENI 'SIWEZI KUMPIGIA MAGOTI/HATUSALIMIANI'

Mh Dr Tulia  Akijinadi Kuwania Unaibu Spika new

Mh Dr Tulia Akijinadi Kuwania Unaibu Spika new

Ole Sendeka alipuka bungeni akitaka shingo ya mtu, Venant akichangia; Mwigulu na Mhagama wasimama

Ole Sendeka alipuka bungeni akitaka shingo ya mtu, Venant akichangia; Mwigulu na Mhagama wasimama

BREAKING: MABADILIKO MENGINE YAMEFANYIKA BARAZA LA MAWAZIRI,UTENGUZI NA UTEUZI  MZITO WATANGAZWA

BREAKING: MABADILIKO MENGINE YAMEFANYIKA BARAZA LA MAWAZIRI,UTENGUZI NA UTEUZI MZITO WATANGAZWA

HAPATOSHI BUNGENI MPINA NA BASHE | HIZI NI DAKIKA 21 ZA MJADALA MKALI |

HAPATOSHI BUNGENI MPINA NA BASHE | HIZI NI DAKIKA 21 ZA MJADALA MKALI | "MPINA ULETE USHAHIDI"

SPIKA TULIA AFOKEA WAZUNGU ULAYA “NIHESHIMUNI MIMI SIYO MUNGU”

SPIKA TULIA AFOKEA WAZUNGU ULAYA “NIHESHIMUNI MIMI SIYO MUNGU”

Zitto Kabwe VS Dk Tulia Ackson, Full package

Zitto Kabwe VS Dk Tulia Ackson, Full package

Taarifa zataka kumchanganya Mbunge Lekishon hadi akaomba kiti cha Spika kiingilie kati

Taarifa zataka kumchanganya Mbunge Lekishon hadi akaomba kiti cha Spika kiingilie kati

GWAJIMA 'AWASHA MOTO' BUNGENI, OLE SENDEKA ASIMAMA NA 'KUMLIPUA'

GWAJIMA 'AWASHA MOTO' BUNGENI, OLE SENDEKA ASIMAMA NA 'KUMLIPUA'

DKT TULIA ACKSON ALIVYOJINADI MBELE YA WABUNGE, AWAOMBA WAMPIGIE KURA, AJIBU MASWALI KITAALAM..

DKT TULIA ACKSON ALIVYOJINADI MBELE YA WABUNGE, AWAOMBA WAMPIGIE KURA, AJIBU MASWALI KITAALAM..

MBUNGE WA NGORONGORO ANG'AKA, ISHU YA LOLIONDO, KIKWETE AINGILIA!

MBUNGE WA NGORONGORO ANG'AKA, ISHU YA LOLIONDO, KIKWETE AINGILIA!

'MSIWAGOMBANISHE WAMASAI AU WAFUGAJI NA SERIKALI YA MAMA SAMIA ''OLESENDEKA MBUNGE

'MSIWAGOMBANISHE WAMASAI AU WAFUGAJI NA SERIKALI YA MAMA SAMIA ''OLESENDEKA MBUNGE

BREAKING! Mpasuko Mkubwa SANA Serikali ya SAMIA | Yaanza Kumong'onyoka

BREAKING! Mpasuko Mkubwa SANA Serikali ya SAMIA | Yaanza Kumong'onyoka

Huyu ni OLE SENDEKA, Mbunge ALIYESHAMBULIWA kwa RISASI Jana USIKU

Huyu ni OLE SENDEKA, Mbunge ALIYESHAMBULIWA kwa RISASI Jana USIKU

OLE SENDEKA AIBUA TAFRANI BUNGENI, ISHU YA WAMASAI KUONDOLEWA, TULIA AMVAA!

OLE SENDEKA AIBUA TAFRANI BUNGENI, ISHU YA WAMASAI KUONDOLEWA, TULIA AMVAA!

BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU

BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]