MANENO ya JAJI JOHN KAHYOZA MBELE ya WATUMISHI wa MAHAKAMA na WANANCHI WIKI ya SHERIA SHINYANGA....
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-02-03
Просмотров: 156
Описание:
MANENO ya JAJI JOHN KAHYOZA MBELE ya WATUMISHI wa MAHAKAMA na WANANCHI WIKI ya SHERIA SHINYANGA....
@FLORA MASALU - SHINYANGA
CC; BAKARI MAHUNDU
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga, Mheshimiwa John Kahyoza, akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya Sheria Nchini leo Februari 02, 2026 katika viwanja vya Mahakama Kuu Shinyanga.
Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga imeadhimisha Siku ya Sheria Nchini leo Februari 02, 2026 katika viwanja vya Mahakama Kuu Shinyanga, huku Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga, Mheshimiwa John Kahyoza, akisisitiza kuwa Mahakama ina nafasi kubwa katika ustawi wa jamii na maendeleo ya Taifa kwa kutoa haki kwa wakati, kwa wote na bila upendeleo.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: