''UNATULETEA PEMBEJEO MWEZI wa 7 TUTAFUNE?'' - MNEC KASESELA AFUNGUKA...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-02-03
Просмотров: 182
Описание:
''UNATULETEA PEMBEJEO MWEZI wa 7 TUTAFUNE?'' - MNEC KASESELA AFUNGUKA...
@ASIA CHIPULI - MTWARA
CC; BAKARI MAHUNDU
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (MNEC) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Richard Kasesela, ameihimiza Serikali kuhakikisha pembejeo za kilimo zinawafikia wakulima kwa wakati ili zitumike kwa msimu husika.
Kasesela ametoa kauli hiyo wakati wa uzinduzi wa sherehe za maadhimisho ya miaka 49 ya CCM uliofanyika wilayani Masasi, mkoani Mtwara,alisema kuwa upatikanaji wa pembejeo kwa wakati ni jambo la msingi litakalowawezesha wakulima kuongeza uzalishaji wa mazao, hali itakayowaongezea kipato na kuchangia maendeleo ya taifa kwa ujumla.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: