Iran yashambulia kituo kikubwa cha mafuta Qatar, vita vikipamba moto
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2026-03-19
Просмотров: 10141
Описание: Iran imeapa kushambulia miundombinu ya nishati ya washirika wa Marekani na Israeli katika eneo la Ghuba hadi "itakapoharibiwa kabisa" ikiwa vituo vyake vya nishati vitalengwa tena. Naye Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kulipua kiwanda kikubwa cha gesi nchini Iran ikiwa itashambulia tena mshirika wa Marekani wa Kiarabu wa Ghuba, Qatar. #DiraYaDuniaTV
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: